Manara awaita Yanga kunogesha mechi ya SimbaSimba Mechi hiyo dhidi ya Kagera itaenda sambamba na Simba kukabidhiwa kombe la ligi waliloshinda msimu huu ambapo Rais John Magufuli ndiye atakawakabidhi taji la ubingwa.
Msemaji huyo wa klabu ya Simba amewataka pia mashabiki na wapenzi wa timu hiyo kujitokeza kwa wingi kuishangilia timu yao.
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) juzi lilitangaza kushusha kiingilio cha awali ambacho kilikuwa Sh3,000 na kuwa Sh2,000 kwenye mchezo huo.
Share on Google Plus

About Chagaboy

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment